«Buona notte, Tim! Domani continuiamo a cercare. Adesso però dormi bene!»
"Usiku mwema, Tim! Tutaendelea kutafuta tena kesho. Sasa lala salama!"
Fuori è già buio.
Kwa sasa usiku umeingia.
Ma cosa fa Tim?
Tim anafanya nini pale?
Va al parco giochi.
Che cosa sta cercando?
Anaondoka kwenda kiwanjani kucheza.
Anatafuta nini pale?
Il piccolo lupo.
Senza di lui non riesce a dormire.
Mbwa mwitu mdogo!
Hawezi kulala bila yeye.
Ma chi sta arrivando?
Sasa anakuja nani?